Saturday, 20 July 2019

murutunguru Teacher's college- JOINING INSTRUCTION 2019




JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
PICT0111WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
CHUO CHA UALIMU MURUTUNGURU
                                                                               
Tel.No:+255752416009                                          S.L.P 68

Mail:murutungurutc.@gmail.com                                            NANSIO

Website:http/www.moe.go.tz                                           UKEREWE-MWANZA
                                               
                                                  

Ndugu............................................................

MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA ASTASHAHADA YA ELIMU YA MSINGI NA ELIMU YA AWALI MWAKA WA MASOMO 2019/2020

Kwa niaba ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ninapenda kukupongeza kwa kuchaguliwa kwako kujiunga na Astashahada ya Elimu ya Msingi / Astashahada ya Elimu ya Awali katika chuo cha ualimu Murutunguru kwa mwaka wa masomo 2019/2020. Mafunzo yatakuwa ya miaka miwili tu.

Yafuatayo ni maelekezo muhimu, yasome kwa makini na kuyazingatia.


  1. KUFUNGUA CHUO
Chuo kitafunguliwa tarehe 10.08.2019.Unatakiwa ufike chuoni bila kukosa kuanzia tarehe 10.08.2019 hadi tarehe 24.08.2019 bila kukosa. Baada ya hapo hautapokelewa kabisa na nafasi yako atapewa mtu mwingine.

  1. MAHALI CHUO KILIPO
Chuo cha ualimu Murutunguru kipo katika wilaya ya Ukerewe mkoa wa Mwanza.Kipo umbali wa km 13 kutoka Nansio mjini ambako ndiko makao makuu ya wilaya ya Ukerewe.
Unaweza kuingia Ukerewe mpaka chuoni kwa njia zifuatazo:-
                    i.            Kwa magari (basi) kutoka Bunda hadi Nansio.
                  ii.            Kwa meli kutoka Mwanza hadi Nansio. Usafiri upo kila siku kwa njia zote mbili
                                                    .
  1. VIFAA VYA KUJA NAVYO CHUONI

  1. MAVAZI
                                i.            Sare za chuo
Wavulana: Njoo na:-
●       Shati mbili: nyeupe moja (1) na light blue moja (1), zote mikono mirefu (tetron).
●       Suruali mbili (2) nyeusi zisizo na marinda na zisiwe za kubana.
●       Koti moja (1) jeusi lenye kitambaa sawa na suruali na  mipasuo miwili nyuma.
●       Jozi mbili (2) za viatu vyeusi (ngozi).
●       Tai mbili (2) nyeusi.
●       Soksi nyeusi jozi mbili.
                            Wasichana: Njoo na:-
●       Shati mbili (2): nyeupe moja (1) na light blue moja (1) zote mikono mirefu (tetron).
●       Sketi mbili (2) zote rangi  nyeusi (za heshima); nusu solo ivuke magoti na isiwe na marinda.
●       Jozi mbili (2) za viatu vyeusi (soli fupi).
●       Koti moja (1) jeusi lenye kitambaa sawa na sketi.
●       Tai moja (1) fupi rangi nyeusi.
●       Juba mbili (2) nyeupe moja (1) na light blue moja (1) kwa waislamu tu.
●       Soksi nyeupe jozi mbili.

  1. VIFAA VYA MICHEZO
       Wavulana: Njoo na:-
●       Jezi jozi moja (1) ya michezo Taifa Stars bluu (T-shirt na bukta yake).
●       Soksi za stocking za bluu zenye fito nyeupe.
●       Raba za michezo rangi yoyote.
●       Jozi moja (1) ya truck suit  rangi ya bluu
●       Vifaa vingine vya michezo utakavyoona vinafaa.
●       T-shirt yenye nembo ya chuo itapatikana chuoni kwa Tshs. 15,000/=

       Wasichana: Njoo na:-
●       Jezi jozi moja (1) ya michezo ya Taifa Stars bluu (T-shirt na bukta yake).
●       Sketi moja (1) fupi rangi yoyote.
●       Raba za michezo rangi yoyote.
●       Jozi moja (1) ya truck suit rangi ya bluu.
●       Vifaa vingine vya michezo utakavyoona vinafaa.
●       T-shirt yenye nembo ya chuo itapatikana chuoni kwa Tshs. 15,000/=

  1. VIFAA VYA MALAZI
      Chuo kitakupatia kitanda. Hivyo njoo na :-
●       Godoro lako futi mbili na nusu (2.5) kwa sita (6) Au kwa watakaowahi yapo machache ya kukodi.
●       Blanketi moja (1).
●       Shuka mbili (2) light blue zisizo na maua ya kutarizi na foronya zake.
●       Mto mmoja (1).
●       Chandarua.

  1. VIFAA VYA CHAKULA
Njoo na:-
●       Bakuli moja (1), sahani moja (1), kikombe aina ya ‘mug’ na kijiko.

  1. VIFAA VINGINEVYO
       Njoo na ndoo moja (1) kwa ajili ya maji ya matumizi yako binafsi na kazi nyinginezo.




  1. VIFAA VYA MASOMO
       Fika na vifaa vifuatavyo kwa ajili ya masomo:-

●       Madaftari ya kutosha masomo yote.Yasipungue kumi na mawili.
●       Kalamu za wino (bluu na / au nyeusi tu)
●       Kalamu za risasi.
●       Mkebe wa vifaa vya Hisabati (Mathematical Set).
●       Rula.
●       Counter Book moja (1) Quire 3 kwa ajili ya Mafunzo ya Ualimu kwa Vitendo.
●       Kitabu kimoja (1) cha Elimu ya Msingi cha somo lolote chenye ithibati ya Taasisi ya Elimu Tanzania.


  1. MAHITAJI KWA AJILI YA USAJILI
        Ili uweze kusajiliwa lazima uje na:-
●       Vyeti vyako halisi vya taaluma (original academic certificates) vya kuhitimu elimu ya sekondari kidato cha nne na cha sita kama umehitimu ngazi hiyo.
●       Cheti au vyeti vyako halisi vya kumaliza elimu ya sekondari {Leaving certificate(s)} kwa ngazi zote za elimu ulizopitia.
●       Kitambulisho chochote chenye  picha yako kinachokutambulisha.
●       Hati ya daktari kwa ajili ya uthibitisho wa afya yako.Na kwa wenye kadi za bima ya afya waje nazo.
●       Jarada (file) moja (1) la kutunzia kumbukumbu zako.
●       Risiti halisi za malipo za benki (original bank pay-in-slip) ya michango. Ada utalipia chuoni baada ya kupatiwa control number.
●       Cheti cha kuzaliwa.

 NYONGEZA:
Kwa wale ambao vyeti vyao bado havijatolewa na Baraza la Mitihani la Tanzania, njoo na karatasi ya  matokeo (result slip au statement of results) iliyotolewa na Baraza la Mitihani la Tanzania.

  1. VIFAA VINGINE UNAVYOPASWA KUWA NAVYO WAKATI WA KUSAJILIWA
       Ni pamoja na:-
●       Ream moja (1) A4 ya karatasi nyeupe kwa ajili ya shughuli za kiofisi.














  1. MCHANGANUO WA MALIPO YA ADA NA MICHANGO


AINA YA
MALIPO AU KIFAA

KIWANGO

NAMBA YA AKAUNTI

JINA LA AKAUNTI

ADA
450,000/= kwa mwaka au 225,000/=kwa muhula. Isilipwe hadi hapo utakapopatiwa control number ukisharipoti chuoni.

31401100005
MURUTUNGURU TC REVENUE COLLECTION ACCOUNT.

MICHANGO
  1. Usajili na kitambulisho 20,000/= Kwa mwaka wa kwanza tu.
  2. Ulinzi 30,000/=Kwa mwaka
  3. Ukarabati 25,000/=Kwa mwaka
  4. Usafi na  mazingira 20,000/=Kwa mwaka  
  5. Michezo 30,000/= kwa mwaka
  6.  Huduma ya kwanza 10,000/= Kwa mwaka
  7. Serikali ya wanachuo 5,000/= Kwa mwaka
  8. Kukodisha godoro     10,000/= Kwa mwaka. Yapo machache  sana kwa watakaowahi

NB: Suala la mchango wa mahafali litajadiliwa na wanachuo wenyewe.













31401100001












PRINCIPAL MURUTUNG-URU TTC.







JUMLA: 150,000/=









NYONGEZA
Chuo hakipokei fedha taslimu wala hundi, michango yote inatakiwa kukamilika ndipo usajiliwe.  
                                                                                                      
                                                                                              
  1. SHERIA NA TARATIBU ZA CHUO
Pamoja na kukidhi vigezo vya kusajiliwa na kuwa mwanachuo kamili, mwanachuo atatakiwa kusoma sheria, kanuni na taratibu za chuo mara tu afikapo chuoni na hatimaye atajaza fomu ya kukubali sheria, kanuni na taratibu hizo.

Kwa mawasiliano zaidi piga:

1.      0765 612 822 / 0784 461 659 Mwadili wa wanachuo
2.      0765 618 026 / 0745 954 401 Msajili wa wanachuo
3.      0713 356 947/ 0755 432 991Mratibu Taaluma 


BALBINA L. JOSEPH

MKUU WA CHUO































KIAMBATISHO A: FOMU YA KUPIMA AFYA (Ijazwe na daktari na kugongwa muhuri)


THE GOVERNMENT OF TANZANIA
REQUEST FOR MEDICAL EXAMINATION
PART A:                                               From: Murutunguru Teacher’s college

TO: The Medical Officer                                                                                       
..................................................................
.................................................................
Please examine the above named as to his/her physical and mental fitness for a full time teacher course.
A: 1. (a) Eye- sight
        (b) Hearing
        (c) Speech
        (d) Venereal Diseases
        (e) Leprosy
        (f) Limbs
        (g) Epilepsy
        2.  Neuroses
        3. Other serious Diseases
B. Blood Group
Date..................................                                                         

Signature...................................          Official Stamp
***************************************************************************
PART B:                                   MEDICAL CERTIFICATE
(To be completed by Government Medical Officer)
I have examined the above named student that he/she is physically fit/ unfit and mentally *fit/unfit for a full time Teacher Education course
Eye Sight.........................................................................................................................
Hearing.................................................................................................................................
Limbs.................................................................................................................................
Speech.................................................................................................................................
Leprosy..............................................................................................................................
Neuroses............................................................................................................................
Other serious Diseases.........................................................................................................
Pregnancy...........................................................................................................................

Date: ........................................................... Signature..........................................................
                                                                    
Official Stamp